Bibi Titi Mohammed : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Kipala (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
No edit summary
Mstari 24:
Mnamo mwaka wa [[1991]], wakati [[Tanzania]] ikisherekea miaka 30 ya uhuru, Bibi Titi ameonekana kwenye [[maandishi]] ya [[chama tawala]] kama "Shujaa wa Kike Aliyepigania Uhuru".
 
[[Tarehe]] [[5 Novemba]] [[2000]] Mohammed alifariki kwenye [[hospitali]] ya Net Care Hospital [[Mji|mjini]] [[Johannesburg]] ambapo alikuwa akitibiwa.<ref>[http://www.hartford-hwp.com/archives/36/342.html Makala kuhusu kufa kwa Mpigania Uhuru Bi. Titi Mohammed]</ref><ref>https://www.bbc.com/swahili/habari-45967916</ref>
 
Moja kati ya [[Barabara|mabarabara]] makubwa ya [[Jiji|jijini]] [[Dar es Salaam]] limepewa [[jina]] la Mohammed kwa [[heshima]] ya mafaniko makubwa aliyoyafanya wakati wa [[mbio]] za kutafuta uhuru wa Mtanzania.
Mstari 34:
* http://www.gwsafrica.org/knowledge/bibi.html
* http://www.nationaudio.com/News/EastAfrican/081199/Features/PA3.html
 
 
{{Mbegu-mwanasiasa}}