Tofauti kati ya marekesbisho "Ngonjera"

208 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
Aghalabu mazungumzo hayo huwa na mijadala ya malumbano yenye kusudio la kutoa [[ujumbe]] maalumu kwa [[hadhira]] au [[jamii]] husika. Msemaji mmoja huuliza swali katika [[ubeti]] mmoja na mwingine hutoa jibu katika ubeti unaofuata na majibizano ya [[hoja]] kuendelea hivyo hadi kukamilisha mada ya mjadala husika. Kutokana na sifa hiyo, ndiyo maana [[kipera]] cha ngonjera kinapatikana katika [[utanzu]] wa ushairi na katika utanzu wa maagizo.
 
Aina hii ya mashairi ilibuniwa na mshairi maarufu Tanzania [[Mathias Mnyampala]]. <ref>{{Cite web|title=Mathias Eugen Mnyampala|url=https://www.mwananchi.co.tz/Kombe-la-Dunia/Mathias-Eugen-Mnyampala/1597604-2858306-c6dus8/index.html|work=Mwananchi|accessdate=2020-01-26|language=en}}</ref>
{{mbegu-lugha}}