Japhet Nyang'oro Sudi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nimeandika kumuhusu muandishi wa riwaya,japhet Sudi
 
Naendelea nayo...
Mstari 1:
'''Japhet Nyangoro Sudi"' (amezaliwa [[18 Januari]] [[1981]], [[Dar es Salaam]]) ni mwandishi wa riwaya za kipelelezi kutoka nchini [[Tanzania]]. Japhet amejizolea umaarufu kwa uwezo wa kubuni riwaya za kipelele huku akimtumia mpelelezi wake mkuu katika riwaya zake nyingi, [[Jacob Matata]].<ref>{{Cite web|title=Page|url=https://somariwaya.co.tz/about.php|work=somariwaya.co.tz|accessdate=2020-01-26}}</ref> Alitoa riwaya yake ya kwanza mnamo mwaka wa 2014 na ilikwenda kwa jina la [[Hekaheka]].
<nowiki>'''Japhet Nyangoro Sudi"'</nowiki> alizaliwa mwaka 1981 katika mkoa wa Dar es salaam katika hospital ya Ocean road.
 
Japhet Nyangoro Sudi ni muhitimu wa shahada ya uzamili wa sayansi za kifedha.
Ni muandishi mwenye kipaji cha kuandika riwaya za kipelelezi <ref>{{Cite web|title=Page|url=https://somariwaya.co.tz/about.php|work=somariwaya.co.tz|accessdate=2020-01-26}}</ref> na riwaya yake ya kwanza ilikuwa ikijulikana kama Hekaheka.
 
==Vitabu alivyoandika==
Japhet Nyangoro Sudi ni muhitimu wa shahada ya uzamili wa sayansi za kifedha
Hii ni orodha ya vitabu vilivyoandikwa na Japhet.
 
#Heka Heka
 
==Marejeo==
VITABU ALIVYOANDIKA
{{marejeo}}
 
Heka Heka
 
{{BD|1981}}
Pata Potea
 
[[Jamii:Waandishi wa Tanzania]]
Saa Sabini na Mbili
 
Oparesheni Panama