Kangi Alphaxard Lugola : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 32:
| website =
}}
'''Kangi Alphaxard Lugola''' (alizaliwa [[25 Mei]] [[1963]]) ni [[mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[chama cha kisiasa]] cha [[CCM]]. Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa Jimbo la Mwibara ([[Mkoa wa Mara]]) kwa miaka [[2015]] – [[2020]] <ref>[https://www.parliament.go.tz/administrations/199 Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>.<ref>https://www.jamiiforums.com/threads/wasifu-wa-waziri-mpya-wa-mambo-ya-ndani-kangi-alphaxard-lugola.1452573/</ref>
 
Alikuwa [[waziri]] wa mambo ya ndani kuanzia [[1 Julai]] [[2018]] hadi kufukuzwa kazi [[tarehe]] [[23 Januari]] [[2020]].