Mwamba (jiolojia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 8:
Mwamba hutokea kwa namna tatu:
* [[mwamba wa mgando]] (mwamba wa kivolkeno, "ingneous rock") unajitokeza pala ambako [[magma]] au [[lava]] inaganda, kwa mfano [[itale]] au .
* [[mwamba mashapo]] ''(sedimentary rock)'' hutokea pale ambako miamba inavunjika na kusagwa katika [[mmomonyoko]] na mashapo yanakandamizwa kwa njia ya kanieneo ya mashapo ya juu hadi mashapo kuwa mwamba mapya.
** aina ya pekee ni [[visukuku]] ambayvo ni mashapo yaliyosababishwa na wanyama au mimea itakayokuwa mwamba mashapo baadaye. Mfano: [[makaa mawe]].
* [[mwamba metamofia]] ''(metamorphic rock)'' ni mageuzi ya miamba ya awali -ama ya kivolkeno au ya mishapo- kwa njia ya kanieneo kubwa sana na joto kali kuwa aina mpya ya mwamba. [[Metamofosi (jiolojia)|Metamofosi]] kwa kawaida hutokea katika kina kubwa.
 
[[Picha:Rockcycle.jpg|thumb|300px|'''Mzunguko wa miamba''': 1 = [[magma]] au [[lava]]; 2 = kuganda kwa magma; 3 = mwamba wa kivolkeno; 4 = mmomonyoko; 5 = mashapo; 6 = mashapo + mwamba mashapo; 7 = mwendo wa gandunia, kuzama kwa mwamba na metamofosi; 8 = mwamba metamofia; 9 = kuyeyuka kwa mwamba ulio chini kwenye koti ya dunia kuwa magma mpya.]]