Mpanda (mji) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Mpanda''' ni [[makao makuu]] na pia [[mji]] mkubwa wa [[Mkoa wa Katavi]] katika
Ni [[kitovu]] muhimu cha [[biashara]] ya [[mazao]] kama [[mahindi]] na [[mpunga]]; kuna pia [[dalili]] ya [[uchumi]] wa [[madini]], hasa [[dhahabu]], katika [[mazingira]] yake.
Mji umekua sana kuanzia wakazi 46,000 mwaka 2002 hadi kufikia idadi ya wakazi 102,000 wakati wa sensa ya 2012. <ref>[http://www.wavuti.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Katavi - Mpanda TC]</ref>▼
▲Mji umekua sana kuanzia wakazi 46,000 [[mwaka]] [[2002]] hadi kufikia [[idadi]] ya wakazi 102,000 wakati wa [[sensa]] ya mwaka [[2012]]. <ref>[http://www.wavuti.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Katavi - Mpanda TC]</ref>
Hadi mwaka 2014 hapakuwa na barabara za lami bali njia za udongo pekee hivyo usafiri huwa na shida wakati wa mvua. Kuna njia ya [[reli]] kutoka hapa hadi [[Kaliua]] inapoungana na [[Reli ya Kati]]. Safari ya reli hadi [[Tabora]] inachukua masaa 10 - 12. Mabasi yanaenda kila siku [[Sumbawanga]] (masaa 5), [[Mbeya]] na Tabora (masaa 9). Tangu kuwa makao makuu ya mkoa wa Katavi uwanja wa ndege uliboreshwa mwaka 2012.▼
▲Hadi mwaka 2014 hapakuwa na [[barabara]] za [[lami]] bali njia za [[udongo]] pekee, hivyo [[usafiri]]
Upande wa dini kuna makao makuu ya dayosisi wa Kikatoliki pamoja na dayosisi ya Anglika ya Ziwa Rukwa na makanisa ya Moravian, AIC, Assemblies na pia msikiti mbalimbali.▼
▲Upande wa [[dini]] kuna makao makuu ya [[dayosisi]]
==Historia==
[[
==Marejeo==
|