Kihispania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Map-Hispano.png|600px|thumb|right|Kihispania duniani leo.]]
'''Kihispania''' ('''"Español"''', kwa [[ing.Kiingereza]]: ''Spanish'') ni [[lugha ya kimataifa]] ambayo ni [[lugha ya kwanza]] kwa watu [[milioni]] 500493; kwa jumla pamoja na wasemaji wa Kihispania kama [[lugha ya pili]] kuna milioni 600568 [[duniani]] wanaosema vizuri Kihispania.
 
== Historia ya lugha ==
[[Asili]] ya [[lugha]] hiyo ni katika nchi ya [[Hispania]] ([[Ulaya]] [[kusini]] [[magharibi]]), lakini kutokana na [[historia]] ya [[ukoloni]] na ya [[biashara]] lugha hiyo imesambaa sana, hasa [[Amerika ya Kusini]] na [[Amerika ya Kati|ya Kati]].
 
Lugha iliyozaa Kihispania ni [[Kilatini]] cha [[Waroma wa Kale]] waliotawala kwa muda mrefu Hispania. Ndiyo sababu [[Neno|maneno]] yake yanatokana na Kilatini kwa [[asilimia]] 80, lakini pia na [[Kiarabu]] kwa asilimia 8.
 
Kati ya [[lugha za Kirumi]] Kihispania ni lugha ya kisasa ambayo ni karibu zaidi na lugha ya kale, isipokuwa [[Kisardinia]] na [[Kiitalia]].
 
== Nchi zinazotumia Kihispania kama lugha rasmi ==
Mstari 52:
 
[[Jamii:Lugha za Kirumi]]
[[Jamii:Lugha za Hispania]]
[[Jamii:Lugha za Costa Rica]]
[[Jamii:Lugha za Cuba]]
[[Jamii:Lugha za El Salvador]]
[[Jamii:Lugha za Jamhuri ya Dominika]]
[[Jamii:Lugha za Guatemala]]
[[Jamii:Lugha za Honduras]]
[[Jamii:Lugha za Mexico]]
[[Jamii:Lugha za Nicaragua]]
[[Jamii:Lugha za Panama]]
[[Jamii:Lugha za Puerto Rico]]
[[Jamii:Lugha za Argentina]]
[[Jamii:Lugha za Bolivia]]
[[Jamii:Lugha za Chile]]
[[Jamii:Lugha za Colombia]]
[[Jamii:Lugha za Ecuador]]
[[Jamii:Lugha za Guyana]]
[[Jamii:Lugha za Paraguay]]
[[Jamii:Lugha za Peru]]
[[Jamii:Lugha za Uruguay]]
[[Jamii:Lugha za Venezuela]]
[[Jamii:Lugha za Guinea ya Ikweta]]