Amoni Abati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 6:
Tangu kale anaheshimiwa na [[Wakatoliki]], [[Waorthodoksi]] na [[Waorthodoksi wa Mashariki]] kama [[mtakatifu]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa [[tarehe]] [[4 Oktoba]]<ref>https://catholicsaints.info/saint-ammon-the-great/</ref>.
 
==Maisha==
Mstari 14:
 
Alishirikiana na [[Antoni Mkuu]] na kukusanya wafuasi wake chini ya [[usimamizi]] wake. Alifariki kabla ya mtakatifu huyo aliyemuandikia [[barua]]<ref>S. Athan. Opp. vol. i. pt. 2, p. 959, ed. Bened.</ref>,yaani kabla ya mwaka [[365]], kwa sababu humo alisema kuwa "aliona [[roho]] ya Amoni ikichukuliwa na [[malaika]] hadi [[mbinguni]]"<ref>''Vit. S. Antonii'' a S. Athanas. § 60</ref>.
 
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
*[[Mababu wa Kanisa]]
 
==Maandishi==
Line 28 ⟶ 21:
 
Hatimaye kuna mkusanyo wa barua zake katika [[Patrologia Orientalis]], volume 10/6.<ref>[https://st-takla.org/books/fr-athnasius-fahmy/st-amonas/index.html St. Amoun's Letters translated to Arabic]</ref>
 
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
*[[Mababu wa Kanisa]]
 
==Tanbihi==