Kikwamba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
maana ya kikwamba
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Kikwamba''' ni aina ya [[shairi]] (bahari) ambalo [[neno]] la kipande cha kwanza katika kila [[mshororo]] hujirudia rudiahujirudiarudia katika [[ubeti]] <ref>{{Cite web|title=Bahari za Ushairi {{!}} Paneli la Kiswahili|url=http://swa.gafkosoft.com/bahari_za_ushairi|work=swa.gafkosoft.com|accessdate=2020-01-30}}</ref>, kwa mfano:
 
Kusema yanilazimu, daima sitonyamaza
 
Kusema yanilazimu, kimya kina nichukiza
 
Kusema yanilazimu, kipo cha kuwaeleza
 
Kama kusema ugonjwa, basi niache niumwe.
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{mbegu-fasihi}}
[[Jamii:Fasihi]]