Tarbia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
mfano wa mashairi ya tarbia
Mstari 4:
 
Vipande hivyo hujulikana kama [[Ukwapi na utao]].
 
Mfano wa mashairi ya tarbia:
 
Kalamu yangu kichwani,ninacho cha kuandika
 
Kilichopo akilini,kwa wengi kitasikika
 
Kwa mtu nilo makini,kwake haya yatafika
 
Tungeheshimu kalamu,ingelindika sheria.
 
<br />
 
{{mbegu-fasihi}}