Shairi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
mabadiliko kulingana na muundo wa uandishi wa mashairi
Mstari 9:
Pia kuna mashairi yasiyofuata utaratibu huo wa kimapokeo na huitwa mashairi ya kimamboleo. Mashairi hayo mara nyingi huwa ni [[nyimbo]].
 
;Mfano :
*;Tulopeleka bungeni, wamegeuka nyang'au,
*;Mafisadi kama nini, baladhuli mabahau,
*;Wanavunja mpini, konde wamelisahau,
*;Zamani na siku hizi, mambo sivyo yavyokuwa.
;
 
*;Mwalimu mwana elimu, asiyekujua ni nani ?
*;Kwake ilete elimu, liyopewa na Maanani,
*;Watu wote wafahamu, hapingiki hasilani,
*;Adharauye mwalimu, kapungua akilini.
 
==Aina za mashairi==