Kikwamba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Makezio kuhusu maana ye neno Amba.
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Kikwamba''' (kutoka [[kitenzi]] ''kwamba'', chenye maana ya kusema au kunena) ni aina ya [[shairi]] (bahari) ambalo [[neno]] la kipande cha kwanza katika kila [[mshororo]] hujirudiarudia katika [[ubeti]] <ref>{{Cite web|title=Bahari za Ushairi {{!}} Paneli la Kiswahili|url=http://swa.gafkosoft.com/bahari_za_ushairi|work=swa.gafkosoft.com|accessdate=2020-01-30}}</ref>, kwa mfano:
 
Kusema yanilazimu, daima sitonyamaza
Mstari 8:
 
Kama kusema ugonjwa, basi niache niumwe.
 
Kikwamb ni neno lilichukuliwa kutoka katika neno Amba kenye maana ya kusema au kunena.
 
==Tanbihi==