Ufalme wa Muungano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
brexit
No edit summary
Mstari 55:
Katika [[karne]] zilizopita nchi iliongoza [[mapinduzi ya viwanda]] [[duniani]], ilienea katika ma[[bara]] yote kwa ma[[koloni]] yake mengi ikabaki hadi leo kati ya nchi muhimu zaidi ulimwenguni.
 
Ni mwanachama [[mwanzilishi]] wa [[Umoja wa Mataifa]], ambapo ana [[kiti cha kudumu]] na [[kura ya turufu]] katika [[Halmashauri ya Usalama]]. 1974-2020 ilikuwa pia ni mwanachama wa [[Umoja wa Ulaya]] ilipojiondoaulipojiondoa baada ya kura ya wananchi..
 
==Historia==