Ufalme wa Muungano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 55:
Katika [[karne]] zilizopita nchi iliongoza [[mapinduzi ya viwanda]] [[duniani]], ilienea katika ma[[bara]] yote kwa ma[[koloni]] yake mengi ikabaki hadi leo kati ya nchi muhimu zaidi ulimwenguni.
 
Ni mwanachama [[mwanzilishi]] wa [[Umoja wa Mataifa]], ambapo ana [[kiti cha kudumu]] na [[kura ya turufu]] katika [[Halmashauri ya Usalama]].

Miaka [[1974]]-[[2020]] ilikuwa pia ni mwanachama wa [[Umoja wa Ulaya]]; ulipojiondoailijiondoa baada ya [[kura]] ya wananchi..
 
==Historia==
Line 92 ⟶ 94:
Uskoti ulikuwa na [[harakati]] pana ya kuondoka katika Ufalme wa Muungano lakini katika [[kura]] ya watu wa Uskoti ya mwaka [[2014]] [[asilimia]] 55 waliamua kubaki.
 
Kumbe kura ya wananchi wa Ufalme mzima ya mwaka [[2016]] iliamua kuondoka katika [[Umoja wa Ulaya]] kwa asilimia 51.9. Utekelezaji ulihitaji muda mrefu na kutimizwa tarehe [[31 Januari]] 2020.
 
==Wakazi==