Shirika la Posta Duniani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
#Lib1Ref #WikiForHumanRights
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:14, 1 Februari 2020

Shirika la Posta Duniani (Kiieng.Universal Postal Union) lilianzishwa na Mkataba wa Bern mwaka 1874, ni miongoni mwa mawakala wa Umoja wa mataifa unaoujumuisha sera za posta kati ya mataifa wanachama na dunia nzima.Shirika hili linajumuisha bodi mbalimbali kama mkutano, Baraza la Utawala, Baraza la Kazi la Posta, na Ofisi za Kimataifa.[1]

Marejeo

  1. "The UPU". Universal Postal Union website. Iliwekwa mnamo 12 December 2010.  Check date values in: |accessdate= (help)