Peter Bwimbo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Naanzisha kurasa
 
naendelea
Mstari 13:
Baada ya Peter kuvutiwa na kusoma,alimuomba baba yake ampeleke shule na bahati nzuri baba yake alikubali na kuamua kumpeleka katika shule ya aliyoelekezwa na Masamaki.alifpofika shuleni alihojiwa kama aliwahi kusoma shule yeyote lakini alisema kuwa hajawahi kusoma na ndipo walimu walimfanyia usaili na kukubali aanze na darasa la kwanza,Peter alianza shule akiwa na umri wa miaka 14.
 
Mwaka 1949 alijiunga na chuo cha ualimu cha ualimu cha Pasiansi Mwanza na mwaka uliofuatia baada ya likizo ya kwanza Pter Bwimbo alianza rasmi mchakato wa kujiunga na jeshi la polisi na mnamo tarehe 2 mwezi Machi alipatiwa namba ya polisi A 518 na kuanza kulipwa mshahara wa shilingi sabini na tano.
 
Kwa wakati huo katika idara za jeshi walikuwa wanaajiriwa wanaume pekee yako lakini kufikia mwaka 1962 baada ya uhuru ndipo askari wakike walianza kujiunga na idara za polisi,Mwalimu [[Julius Nyerere]] aliomba serikali ya ilete maafisa wa kike ili kutoa mafunzo kwa askari wa wanawake,na serikali ya [[Uingereza]] ilikubali na kumleta [[Doreen Ann Prissick]] ambae alianza kufundisha askari wa kike kwa wakati huo Peter Bwimbo alikuwa yupo katika kikosi cha [[Special Branch]]
 
== Vitabu ==
Peter Bwimbo mbali na taaluma za kiaskari na usalama alizipitia lakini pia ni muandishi wa vitbu na kitabu alichoandika kinaitwa [[Mlinzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere]] kilichochapishwa na [[Mkuki na Nyota]] mwaka 2016.
 
<br />