Kamusi elezo : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
No edit summary
 
'''Kamusi elezo''' (pia: '''ensaiklopedia''' kutoka [[Kiingereza]]: ''encyclopedia'') ni [[kitabu]] kinachokusudiwa kukusanya [[ujuzi]] wa [[binadamu]] kadiri iwezekanavyo kulingana na wingi wa kurasa zake.
 
Siku hizi, [[Wikipedia]] ni kamusi elezo kubwa zaidi [[duniani]] lakini si kitabu cha [[karatasi]], ni mkusanyo wa habari kwa [[umbo]] [[Dijiti|dijitali]] katika [[intaneti]]. Zamani (kabla ya kuja kwa Wikipedia) [[Encyclopedia Britannica]] ilikuwa kati ya kamusi elezo kubwa zaidi iliyokuwa ikitolewa kama vitabu vilivyochapishwa.
 
==Historia==
Katika [[historia]] zilikuwepoyalikuwepo majaribio mbalimbali ya kukusanya ujuzi wote wa [[dunia]]. Mfano bora wa kale ni [[kamusi ya Yongle]] kutoka [[China]] iliyotungwa na wataalamu 2000 katika [[karne ya 14]] na kuandikwa kwa [[mkono]] katika vitabu 1100.
 
Lakini kamusi elezo au ensiklopediaensaiklopedia zimekuwa na athari kubwa sana tangu [[Johannes Gutenberg]] na kupatikana kwa [[uchapaji]] wa vitabu ulioshusha kabisa [[bei]] ya vitabu kwa watu wengi.
 
EnsiklopediaEnsaiklopedia ya kwanza ya kisasa iliyokuwa na athira kubwa sana ilikuwa "Encyclopédie ou Dictionnaire raisonné des sciences, des arts et des métiers" iliyokusanywa na [[Denis Diderot]] pamoja na [[Jean Baptiste le Rond d’Alembert]] pamoja na waandishi zaidi ya 130 katika [[karne ya 18]] huko [[Ufaransa]]. Kamusi elezo hilihii likawaikawa moja kati ya vyanzo vya harakati ya [[Zama za Mwangaza]].
 
{{mbegu-kitabu}}