Vivumishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 14:
*Yule <u>mpole</u> amesafiri
*Bata <u>mweupe</u> ni wa jirani
 
==Aina za vivumishi==
#[[Vivumishi vya sifa]]
#[[Vivumishi vya idadi]] pia '''vya kiasi'''
#[[Vivumishi ya kuuliza]]
#[[Vivumishi vya kuonesha|Vivumishi]]/Vivumishi vionyeshi/viashiria
#[[Vivumishi vya kumiliki]]
#[[Vivumishi vya a-nganifu|Vivumishi vya -a unganifu]]
#[[Vivumishi vya urejeshi]]
#[[Vivumishi vya pekee]]
#[[Vivumishi vya jina kwa jina]]/nomino
#[[Vivumishi visisitizi]]
 
Inafanana kabisa na orodha ya viwakilishi, tofauti yake ni hali ya [[nafsi]] tu. Yaani, hakuna kivumishi cha nafsi.