Virusi vya Corona : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4:
 
==Tabia za pamoja==
Virusi vya corona huwa na uwezo wa kubadilika na aina nyingi husababisha magonjwa yasiyo hatari sana upande wa binadamu. Kudhoofika kwa mwili kutokana na mashumbuliomashambulio ya virusi kunafungua milango kwa bakteria zinazoletawanaoleta [[maambukizo]] ya [[mfumo wa upumuo]], kama [[mafua]] au [[homa ya mafua]], yanayoishia kwa kawaida baada ya [[siku]] kadhaa, lakini kuna pia maambukizo ya hatari yanayoweza kusababisha [[kifo]].
 
Hakuna [[chanjo]] au [[dawa]] ya kudhibiti virusi vya aina hii. Kwa hiyo [[uponyaji]] hutegemea mara kwa mara nguvu ya [[Kingamwili|kinga mwilini]] cha kila mtu. Hii inamaanisha virusi hivi huleta hatari hasa kwa watu wenye kinga cha mwili kilichodhoofishwa.