Mwigizaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nimeongeza kazi nyingine ya muigizaji
Mstari 4:
Muigizaji ni mtu anayeonyesha tabia fulani katika utendaji. Kuna kipindi waigizaji huimba na kucheza. Muigizaji hufanya maigizo katika [[ukumbi]] wa michezo, au katika kumbi ya kisasa kama filamu, [[redio]] na [[televisheni]].<ref name="confused">This is true whether the character than an actor plays is based on a real person or a fictional one, even themselves (when the actor is 'playing themselves,' as in some forms of experimental [[performance art]], or, more commonly, as in John Malkovich's performance in the film ''[[Being John Malkovich]]''); to act is to create a character in performance: "The dramatic world can be extended to include the 'author', the 'audience' and even the 'theatre'; but these remain 'possible' surrogates, not the 'actual' referents as such" (Elam 1980, 110).</ref><ref>dictionary.com ''[http://dictionary.reference.com/browse/actor actor]'' retrieved 13 Novemba 2007</ref>
 
Mwigizaji jukumu lake ni kuelimisha [[jamii]] na kuburudisha, iwe kwa misingi ya mtu halisi au tabia ya [[uongo]]. Ufafanuzi hutokea hata wakati muigizaji "anacheza mwenyewe", kama katika aina fulani za [[sanaa]] ya utendaji wa majaribio, au kwa kawaida. Kutenda, ni kujenga, tabia katika utendaji.
 
== Historia ==