Joseph Pulitzer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 33:
}}
 
'''Joseph Pulitzer''' ([[10 Aprili]] [[1847]] – [[29 Oktoba]] [[1911]]) alikuwa mhariri[[Mhariri]] wa magazeti kutoka nchi ya [[Marekani]]; lakini alizaliwa nchi ya [[Hungaria]]. Alinunua magazeti mbalimbali na kusimamia uhariri wao. Katika hati ya wasia yake alisaidia kuanzisha Idara ya Uandikaji Habari ndani ya [[Chuo Kikuu cha Columbia]] iliyofunguliwa mwaka wa 1912. Tangu 1917, chuo hicho kimetoa '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' kwa ajili ya maandishi hodari.
 
{{DEFAULTSORT:Pulitzer, Joseph}}