Raila Odinga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 41.90.156.35 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Baba Tabita
Tag: Rollback
Mstari 51:
 
== Kiongozi wa ODM na uchaguzi 2007 ==
Hata ODM iliona mafarakano katika maandalizi ya kumteua mgombea wa urais. Kalonzo Musyoka pamoja na wafuasi wake katika [[Ukambani]] walijiondoa Agosti 2007 wakaanzisha ODM-Kenya. Katika mkutano mkuu wa ODM Raila alipata kura nyingi kuwa mgombea wa urais. Wapinzani wake Musalia Mudavadi na [[William Ruto]] wakaamua kushikama naye wakabaki katika ODM. Mabaki ya KANU chini ya Uhuru Kenyatta wakajiondoa katika upinzani wakahamia upande wa rais Kibaki.
 
Katika [[kura za maoni]] tangu Septemba 2007 Raila alionekana mbele akielekea kuwa na nsu ya maoni yote au hata kidogo zaidi wakati rais Kibaki alifikia kiwango cha takriban 40 % pekee.