Chama cha Demokrasia na Maendeleo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
muanzilishi wa Chedema
Mstari 1:
'''Chama cha Demokrasia na Maendeleo''' (kifupi: Chadema) ni [[chama cha upinzani]] nchini [[Tanzania]] ambacho kuanzia mwaka [[2010]] ni kikuu kuliko vyote.
 
Kilianzishwa tarehe [[28 Mei]] [[1992]] na [[mwanasiasa]] mkongwe [[Edwin Mtei]] na [[gavana]] na [[waziri wa fedha]] wa zamani enzi za utawala wa Mwalimu [[Julius Nyerere]].
 
==Viungo vya nje==