Joseph Pulitzer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 33:
}}
 
'''Joseph Pulitzer''' ([[10 Aprili]] [[1847]] – [[29 Oktoba]] [[1911]]) alikuwa [[Mharirimhariri]] wa [[magazeti]] kutoka nchi yanchini [[Marekani]]; lakini alizaliwa nchi ya [[Hungaria]]. Alinunua magazeti mbalimbali na kusimamia uhariri wao.

Katika hati ya [[wasia]] yake alisaidia kuanzisha Idara ya Uandikaji Habari ndani ya [[Chuo Kikuu cha Columbia]] iliyofunguliwa [[mwaka]] wa [[1912]].

Tangu mwaka [[1917]], [[chuo]] hicho kimetoa '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' kwa ajili ya [[maandishi]] hodaribora.
 
{{DEFAULTSORT:Pulitzer, Joseph}}