Nzige-jangwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza picha
Badiliko la matini
Mstari 39:
Badiliko kutoka kwa mdudu wa solitaria asiye msumbufu kwenda kwa mdudu mlafi wa gregaria hufuata kwa kawaida kipindi cha [[ukame]], wakati mvua inanyesha na [[mmea|mimea]] inaibuka katika maeneo makuu ya uzalishaji wa nzige. Idadi ya wadudu inazidi haraka na mashindano kwa chakula huongezeka. Kadiri tunutu wanaposongamana, changamano ya karibu ya miili yao husababisha miguu yao ya nyuma kugongana. Kichocheo hiki husababisha mfululizo wa mabadiliko ya [[metaboliki]] na ya mwenendo ambayo husababisha wadudu kubadilika kutoka kwa awamu ya solitaria kwenda kwa ile ya gregaria.
 
Wakati tunutu wanapokuwa gregaria, rangi yao hubadilika kutoka kwa kijani hadi njano na nyeusi, na wapevu hubadilika kutoka hudhurungi hadi pinki (wasiokomaa) au njano (waliokomaa). Mwili wao huwa mfupi zaid na wanatoa feromoni inayowafanya wavutiane, ambayo huongeza uundaji wa makundi. Feromoni ya tunutu ni tofauti na ile ya wapevu. Wanapofunuliwa na feromoni ya wapevu, tunutu huchanganyikiwa na kufadhaika, kwa sababu inaonekana kwamba hawawezi "kunusana", ingawa vichocheo vya kuona na kugusa vinabaki. Baada ya siku chache makundi ya tunutu hutengana na wale wanaotoroka [[umbuai]] huwa solitaria tena. InawezekanaWanasayansi kwambakadhaa athariwamejaribu hiikutumia inawezasehemu kusaidiakuu udhibitiya feromoni hio, [[w:benzyl cyanide|benzyl cyanide]], ili kusababisha tunutu wa nzigegregaria katikawakuwe miakasolitaria. Lakini matokeo ya majaribio uwandani walisikitikisha na [[kemikali]] hii ilizingitiwa kuwa [[sumu]] ijayombaya. CHANGEKwa hivyo mbinu huo wa udhibiti ulisuswa.
 
==Picha==