Nzige-jangwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Badiliko la matini
Mstari 33:
Nzige-jangwa wana awamu mbili: awamu ya "solitaria" na awamu ya "gregaria" ([[w:polyphenism|polyphenism]]). Imeonyeshwa kuwa tunutu na wapevu wa nzige wanaweza kutenda kama gregaria ndani ya masaa machache baada ya kuwekwa katika hali ya msongano, ingawa mabadiliko ya [[mofolojia|kimofolojia]] huchukua maambuaji kadhaa ili kuonekana. Nzige wa gregaria wanahitaji [[kizazi]] kimoja au zaidi ili kuwa solitaria wakikuzwa katika upweke.
 
[[Picha:Desert locust solitary hopper1.jpg|thumb|left|Tunutu wa solitaria nchini Mauritania]]
Kuna tofauti katika mofolojia na [[mwenendo]] kati ya awamu hizo mbili. Katika awamu ya solitaria tunutu hawaundi makundi lakini huzunguka peke yao. Rangi yao kwanza ni kijani, lakini hatua zinazofuata zinaweza kuwa hudhurungi ikiwa uoto kijani huadimika au kukosekana. Wapevu wa solitaria huruka usiku na kuwa hudhurungi ili kufichika katika mazingira yao na wanaweza kuwa njano isiyoiva wakikomaa.