Hoteli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Aina ya vyumba vya hoteli
Mstari 12:
*[[Airport hotel]] ni aina ya hoteli ambazo hupatikana karibu kabisa na [[Uwanja wa ndege|viwanja vya ndege]] na mara nyingi hutoa huduma zake kwa wasafiri wa [[Ndege (uanahewa)|ndege]]. <ref>{{Cite web|title=Why is an Airport Hotel Different from the Normal Hotels?|url=https://www.soegjobs.com/airport-hotel-differ-normal-hotels/|work=Global Hospitality Portal|date=2017-02-11|accessdate=2020-02-05|language=en-US}}</ref>
*[[Motel Hotel]] ni aina ya hoteli ambazo hupatikana karibu na [[barabara]] kubwa na huwa na vyumba vichache kutoa huduma sana kwa [[Dereva|madereva]] wa [[magari]] ya [[watalii]]. <ref>{{Cite web|title=Motel - Definition Glossary for Hotel Revenue Management Terminology|url=http://www.xotels.com/en/glossary/motel|work=Hotel Management Company - Hospitality Group - Xotels Ltd.|accessdate=2020-02-06|language=en-gb}}</ref>
 
<br />
 
== Aina ya Vyumba vya Hotel ==
Aina hii ya room hutazamwa kulingana na aina ya vitanda au idadi ya vitanda katika room.
 
* [[Single Bed|Single Room]]-Hivi ni vyumba maalumu kabisa kwa ajili ya kulala mtu mtu mmoja <ref>{{Cite web|title=Single room definition and meaning {{!}} Collins English Dictionary|url=https://www.collinsdictionary.com/dictionary/english/single-room|work=www.collinsdictionary.com|accessdate=2020-02-07|language=en}}</ref>
* [[Double Bed|Double room]]-Aina hii ya room ni maalumu kwa ajili ya watu wawili na huwa na kiotanda kimoja kikubwa.
* [[Twin Bed]]-Hii ni room yenye vitanda viwili vilivyokaribu,wakati mwingine anweza kulala mtu mmoja katika aina hii ya room.
* [[Suite Room]]-Hii ni room kubwa ilioyo na chumba cha kulala pamoja na sebule.
 
==Tanbihi==