Kadhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kadhi''' (kurokakutoka [[Kiarabu]]: <big>القاضي</big>, ''al-qadi'') ni [[cheo]] cha [[jaji]] kwenze [[mahakama]] ya [[Kiislamu]] anayetumia [[kanuni]] za [[shari'a]] kufikia [[hukumu]] zake.
[[Picha:Arabischer Maler um 1335 002.jpg|300px|thumb|Kesi iliyojadiliwa mbele ya kadhi: [[nakhshi]] ya [[karne ya 14]].]]
Katika jumuiya ya Kiislamu ya zamani kadhi aliangalia masuala yote ya [[haki]]. Siku hizi karibu nchi zote zinatumia pia [[sheria]] zinazotofautiana [[kesi]] za madai, za adhabu na za [[jinai]]. Hata hivyo, katika [[nchi za Kiarabu]] majaji wanaendelea kuitwa kadhi hata wakitumia sheria iliyotungwa [[Bunge|bungeni]].