Kadhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Kadhi''' (kutoka [[Kiarabu]]: <big>القاضي</big>, ''al-qadi'') ni [[cheo]] cha [[jaji]] kwenye [[mahakama]] ya [[Kiislamu]] anayetumia [[kanuni]] za [[shari'a]] kufikia [[hukumu]] zake.
[[Picha:Arabischer Maler um 1335 002.jpg|300px|thumb|Kesi iliyojadiliwa mbele ya kadhi: [[nakhshi]] ya [[karne ya 14]].]]
'''Kadhi''' (kutoka [[Kiarabu]]: <big>القاضي</big>, ''al-qadi'') ni [[cheo]] cha [[jaji]] kwenye [[mahakama]] ya [[Kiislamu]] anayetumia [[kanuni]] za [[shari'a]] kufikia [[hukumu]] zake.

Katika [[jumuiya]] ya Kiislamu ya zamani kadhi aliangalia masuala yote ya [[haki]]. Siku hizi karibu nchi zote zinatumia pia [[sheria]] zinazotofautiana katika [[kesi]] za madai, za [[adhabu]] na za [[jinai]]. Hata hivyo, katika [[nchi za Kiarabu]] majaji wanaendelea kuitwa kadhi hata wakitumia sheria iliyotungwa [[Bunge|bungeni]].
 
Katika nchi kadhaa kuna utaratibu kwamba kesi za binafsi za [[Waislamu]] (kama vile [[urithi]], [[ndoa]], [[talaka]]) zinaamuliwa na [[mahakama ya kadhi]] iliyopo kando ya mahakama za kawaida, mifano yake ni [[Kenya]] na [[Zanzibar]].
 
Kwa [[desturi]] kadhi ni mtu mzima, [[mwanamume]], mwenye [[akili timamu]] anayejulikana ana kiwango cha [[elimu]] ya shari'a. Kwa kawaida aliamua peke yake, na hapakuwa na [[rufaa]] dhidi ya hukumu<ref>[https://www.britannica.com/topic/qadi Qadi], tovuti ya Britannica, iliangaliwa Desemba 2019</ref> Wasomi Waislamu wanatofautiana kama [[wanawake]] wanafaa kuwa kadhi<ref>[https://islamqa.info/en/answers/71338/ruling-on-appointing-a-woman-as-a-judge Ruling on appointment of women as a judge], Fatwa ya kukataa kadhi wa kike kwenye tovuti islanqa.info, iliyotolewa na shehe wa Saudia</ref>, .
 
Wasomi Waislamu wanatofautiana kama [[wanawake]] wanafaa kuwa kadhi<ref>[https://islamqa.info/en/answers/71338/ruling-on-appointing-a-woman-as-a-judge Ruling on appointment of women as a judge], Fatwa ya kukataa kadhi wa kike kwenye tovuti islanqa.info, iliyotolewa na shehe wa Saudia</ref>. Hata hivyo, [[idadi]] ya wanawake katika nafasi ya kadhi imeongezeka;: [[Malaysia]] imeanza [[mwaka]] [[2010]] kupeleka wanawake katika nafasi hiyo, nchi nyingine kama [[Indonesia]], [[Pakistan]] na [[Sudan]] zimefuata.<ref>[https://www.aljazeera.com/indepth/features/2017/08/female-face-islamic-law-malaysia-170802110726630.html The female face of Islamic law in Malaysia], tovuti ya aljazeera.com ya 16 Aug 2017</ref>
 
==Marejeo==
Line 14 ⟶ 15:
[[jamii:Shari'a]]
[[Jamii:Sheria]]
[[Jamii:Uislamu]]