Mto Donga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mto Donga''' ni mto uliopo nchini Nigeria na Kameruni. Mto huo chanzo chake kinaatikana katika,Mambilla Plateau huko Nigeria Mashariki, ndio sehemu y...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:28, 7 Februari 2020

Mto Donga ni mto uliopo nchini Nigeria na Kameruni. Mto huo chanzo chake kinaatikana katika,Mambilla Plateau huko Nigeria Mashariki, ndio sehemu ya mpaka wa kimataifa kati ya nchi ya Nigeria na Kameruni, na unapita kaskazini magharibi baadaye unaishia katika Mto Benue huko Nigeria.

Maji ya Donga ni kilomita za mraba 20,000 (7,700 sq mi) katika eneo hilo. Katika kilele chake,Unapita karibu na Mto wa Benue huo hutoa mita za ujazo 1,800 (futi 64,000) ya maji kwa sekunde.

Katika Jimbo la Taraba nchini Nigeria, kuna hifadhi tatu(3) za misitu ambao niːBaissa,Amboi na Mto Bissaula, kwenye bonde la mto Donga. ambao unaishia kwenye mteremko chini ya Plateau ya Mambilla, kusini-magharibi mwa Hifadhi ya Kitaifa ya Gashaka Gumti.

Tanbihi

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Donga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.