|
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit |
==SARS==
SARS ''(Severe acute respiratory syndrome)'' ilikuwaulikuwa ugonjwa sugu wa mfumo wa upumuo uliosababishwa na virusi vya corona aina ya SARS-CoV. Uliripotiwa mara ya kwanza huko [[Asia]] kwenye Februari [[2003]] ukaendelea kusambaa katika miezi iliyofuata katika nchi zaidi ya 20 katika [[Amerika]], [[Ulaya]] na Asia hadi kwisha. Ugonjwa ulianza kuonekana kwa [[homa]] juu ya [[C°]] 38, [[maumivu]] ya [[kichwa]] na kujisika dhaifu. [[Asilimia]] 10-20 za wagonjwa walihara. Wengi walioambukizwa waliendelea kupata [[nimonia]]. Kulikuwa na taarifa za watu 8,098 walioambukizwa, na 774 walifariki katika nchi 17<ref name="PMID 16978751">{{cite journal |doi=10.1016/j.socscimed.2006.08.004 |pmid=16978751 |title=Responding to global infectious disease outbreaks: Lessons from SARS on the role of risk perception, communication and management |journal=Social Science & Medicine |volume=63 |issue=12 |pages=3113–23 |year=2006 |last1=Smith |first1=Richard D }}</ref>, wengi wao nchini China. <ref name="who:table2004_04_21">{{cite web|url=http://www.who.int/csr/sars/country/table2004_04_21/en/index.html|title=Summary of probable SARS cases with onset of illness from 1 November 2002 to 31 July 2003|publisher=[[World Health Organization]] (WHO) |accessdate=31 October 2008}}</ref>
SARS haijatokea tena tangu mwaka [[2004]].
|