Tofauti kati ya marekesbisho "Virusi vya Corona"

4 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
 
==2019 Novel Coronavirus (2019-nCoV)==
Mwisho wa [[mwaka]] [[2019]] ulionaulionekana kutokea kwa badiliko jipya lililotambuliwa mara ya kwanza [[Mji|mjini]] [[Wuhan]], [[China]]. <ref>{{Cite web|title=Wuhan Coronavirus Can Be Infectious Before People Show Symptoms, Official Claims|url=https://www.sciencealert.com/wuhan-coronavirus-can-be-infectious-before-people-show-symptoms-official-claims|work=ScienceAlert|accessdate=2020-01-28|language=en-gb|author=Julia Naftulin, Business Insider}}</ref>
 
Aina hiyo ya virusi vya corona iliitwa 2019 Novel Coronavirus (2019-nCoV). Usambazaji wake ulionekana kuanza kutokana na virusi vya wanyama vilivyofikia binadamu. Wagonjwa walionyesha matatizo kwenye njia ya upumuo; wengine waliathiriwa kidogo tu, lakini wengine waligonjeka vibaya hadi kufa. [[Dalili]] zilizotambuliwa hadi mwisho wa [[Januari]] [[2020]] ni pamoja na homa, kukohoa na ugumu wa kuvuta [[pumzi]]. Inaonekana dalili za ugonjwa zinaweza kuanza takriban siku 2 hadi 14 baada ya kuambukizwa. Walio hatarini zaidi ni watu waliodhoofishwa na magonjwa mengine au wenye mfumo dhaifu wa kinga mwilini kwa sababu nyingine, kwa mfano [[umri]] mkubwa.
544

edits