Abia (jimbo) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q320852 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Abia_Nigeria.jpg|thumb|300px|Ramani.]]
[[File:Abia tower.jpg|thumb
'''Abia''' ni [[jimbo]] la kujitawala la [[Nigeria]] lenye wakazi [[milioni]] 4.2 (2005) na eneo la
== Eneo ==
Abia imepakana na majimbo ya Enugu, Ebonyi, Cross River, Akwa Ibom, Rivers, Imo na Anambra. Haina
[[Mito]] muhimu ni [[mto Imo]] na [[mto Aba]] inayoelekea kwenye [[delta]] ya [[mto Niger]].
Kusini ya jimbo ni tambarare ya chini yenye mvua nyingi. Maeneo ya kaskazini ni juu kidogo.▼
▲[[Kusini]]
== Uchumi ==
Kuna pia [[madini]] yanayochimbwa: ni hasa [[zinki]], [[mchanga]], [[chokaa]] pia kiasi cha [[mafuta]] ya [[petroli]]. Abia hukorogwa [[bia]] na kuna [[viwanda]] vya [[nguo]] na [[kioo]].
== Wakazi ==
Watu wa Abia ni hasa wa [[kabila]] la [[Igbo]].
{{mbegu-jio-Nigeria}}▼
{{Nigeria}}
▲{{mbegu-jio-Nigeria}}
[[Jamii:Jimbo la Abia]]
[[Jamii:Majimbo ya Nigeria]]
|