Adamawa (jimbo) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 27 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q337514 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Jimbo Adamawa Nigeria.png|thumb|right|300px|Mahali pa Adamawa katika [[Nigeria]].]]
'''Adamawa''' ni [[jimbo]] la kujitawala la [[Nigeria]] lenye wakazi [[milioni]] 3.7 (2005) na eneo la 36,917 [[km²]]. [[Mji mkuu]] ni [[Yola]] na mji mkubwa ni [[Jimeta]] mwenye wakazi mit 24836,166 (2005)917.
 
[[Mji mkuu]] ni [[Yola]] na [[mji]] mkubwa ni [[Jimeta]] wenye wakazi mit 248,166 (2005).
Jimbo liko katika mashariki ya Nigeria mpakani wa [[Kamerun]]. Limepakana na majimbo ya Borno, Gombe na Taraba.
 
Jimbo liko katika [[mashariki]] ya Nigeria, mpakani wa [[Kamerun]]. Limepakana na majimbo ya Borno, Gombe na Taraba.
Adamawa ilianzishwa mwaka 1976 kama jimbo kwa jina la Gongola kutokana maeneo ya jimbo la awali la Kaskazini-Mashariki. 1991 jina likabadilishwa kuwa Adamawa.
 
Adamawa ilianzishwa [[mwaka]] [[1976]] kama jimbo kwa [[jina]] la Gongola kutokana maeneo ya jimbo la awali la Kaskazini-Mashariki. Mwaka [[1991]] jina likabadilishwa kuwa Adamawa.
 
{{Nigeria}}
{{mbegu-jio-Nigeria}}
 
[[Jamii:Majimbo ya Nigeria|A]]