Mto Imo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Imo Mmiri
Mstari 1:
'''Mto Imo''' ni [[mto]] nchini [[Nigeria]].
 
[[Chanzo (mto)|Chanzo]] chake kinapatikana [[Okigwe]] kwenye [[jimbo la Imo]]. Unaishia kwenye [[bahari]] ya [[Atlantiki]]. Mto huu unaunalisha [[hekta]]eneo la kinamasi lenye ukubwa wa heka 26,000 na [[ujazo]] wa [[kilomita za ujazo]] 4 za [[maji]] ya [[mvua]] kwa [[mwaka]].
 
[[Jamii]] zinazokaa pembezoni mwa mto zinaamini kuna [[mungu]] wa kike anayeitwa Imo Mmiri ndiye anayemiliki mto huo.<ref> Uzor, Peter Chiehiụra (2004). The traditional African concept of God and the Christian concept of God. Peter Lang. p. 310. ISBN 3-631-52145-6.</ref>
 
== Marejeo ==