Benue (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tengua pitio 1100477 lililoandikwa na Makoxy (Majadiliano)
Tag: Undo
Mstari 11:
}}
'''Mto Benue''' (kwa [[Kifaransa]]: '''Bénoué''') ni [[tawimto]] kubwa la [[mto Niger]]. [[Chanzo (mto)|Chanzo]] chake ni katika [[nyanda za juu]] za [[Kamerun]], hasa [[milima ya Adamawa]]. tps://en.wikipedia.org/wiki/Benue_River
 
Katika sehemuy a kwanza ya mwendo wake unatelemka [[mita]] 600 kwa mwendo kali. Karibu na [[mji]] wa [[Garua]] unaungana na [[mto Mayo Kébi]]. Baada ya mwendo wa [[km]] 350 [[mto]] huo unatoka Kamerun na kuingia [[Nigeria]] karibu na [[bandari]] ya [[Jimeta]]. Huko mto una [[upana]] wa kilomita moja unaoweza kupanua wakati wa [[mvua]]. Baada ya [[Yola]] mto unapokea tawimto lake muhimu zaidi, [[mto Gongola]].