Bunge la Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 12:
* Wabunge 113 walioingia kupitia viti maalumu kwa wanawake
* Wabunge 5 walioteuliwa na [[Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar]]
* Wabunge 10 walioteuliwa na raisRais wa Tanzania
* [[Mwanasheria Mkuu]]
 
Mstari 20:
Kuna majimbo 214 Tanzania Bara na majimbo 50 Zanzibar.
 
Majimbo yanatofautiana kwa kiasi kikubwa katika idadi ya wakazi. Wastani ya Tanzania bara ni mbunge mmoja kwa wakazi 227,461. <ref>Linganisha takwimu hii, hasa Jedwali 1 uk. 2: [http://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/majimbo/MAJIMBOApril_Kisw.pdf Makadirio ya idadi ya watu katika majimbo ya uchaguzi Tanzania Bara kwa mwaka 2016]; tovuti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu, iliangaliwa Juni 2017. Wastani inapatikana kwa kugawa idadi ya Wakazi Jumla kwa idadi ya Majimbo</ref> Kuna majimbo katika mikoa ambako mbunge mmoja anawasilisha watu wengi zaidi kama vile Dar es Salaam (wakazi 546,542/mbunge 1), Mwanza (346,999) na Kagera (309,953). Kinyume chake kuna majimbo mengine ambako mbunge anawasilisha watu wachache kama vile Pwani(wakazi 133.104/mbunge), Katavi (128.513), Njombe (120.795) au Lindi (112.192).
 
Tofauti ni kubwa zaidi pale Zanzibar. Kwa mfano [[Wilaya ya Kaskazini B]] katika [[Mkoa wa Unguja Kaskazini]] ina wakazi 81,675<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Kaskazii Unguja uk. 226]</ref> pekee lakini inachagua wabunge 4 katika majimbo ya Bumbwini, Donge, Kiwengwa na Mahonda.
 
==Kamati za Bunge==