Bunge la Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 5:
*{{Color box|#003399|border=darkgray}} [[NCCR–Mageuzi|NCCR–M]] (1)<br/>
*{{Color box|#C0C0C0|border=darkgray}} [[Mwanasheria Mkuu]] (1)]]<br/>
'''Bunge la Tanzania''' ni baraza la [[Jamhuri ya Muungano wa Tanzania]] linalotunga [[sheria]] na kuisimamia [[serikali]] katika utekelezaji wa majukumu yake.
 
==Waliopo bungeni==
Bunge linamjumuisha [[rais wa Tanzania]] pamoja na [[wabunge]]. Mnamo mwaka [[2017]] kunakulikuwa na wabunge 393<ref>[http://www.parliament.go.tz/pages/structure Structure of parliament], tovuti ya bunge, ilitazamiwa Mei 2017</ref> wanaoingia kwa namna tofauti <ref>[http://www.tanzania.go.tz/egov_uploads/documents/KATIBA%20YA%20JAMHURI%20YA%20MUUNGANO%20WA%20TANZANIA%20YA%20MWAKA.pdf Katiba ya Tanzania], ibara 66, uk. 51</ref>
* Wabunge 264 waliochaguliwa katika majimbo ya uchaguzi
* Wabunge 113 walioingia kupitia viti maalumu kwa wanawake
Mstari 15:
* [[Mwanasheria Mkuu]]
 
[[Mamlaka]] ya Bunge iko juu ya mambo yote yasiyo ya [[Zanzibar]] pekee.
 
==Majimbo ya Uchaguzi wa Bunge==
Kuna majimbo 214 Tanzania Bara na majimbo 50 Zanzibar.
 
Majimbo yanatofautiana kwa kiasi kikubwa katika [[idadi]] ya wakazi. [[Wastani]] yawa Tanzania bara ni mbunge mmoja kwa wakazi 227,461. <ref>Linganisha takwimu hii, hasa Jedwali 1 uk. 2: [http://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/majimbo/MAJIMBOApril_Kisw.pdf Makadirio ya idadi ya watu katika majimbo ya uchaguzi Tanzania Bara kwa mwaka 2016]; tovuti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu, iliangaliwa Juni 2017. Wastani inapatikanaunapatikana kwa kugawa idadi ya Wakaziwakazi Jumlajumla kwa idadi ya Majimbomajimbo</ref> Kuna majimbo katika mikoa ambako mbunge mmoja anawasilisha anawakilisha watu wengi zaidi kama vile [[Dar es Salaam]] (wakazi 546,542/mbunge 1), [[Mwanza]] (346,999) na [[Kagera]] (309,953). Kinyume chake kuna majimbo mengine ambako mbunge anawasilishaanawakilisha watu wachache kama vile [[Pwani]] (wakazi 133.104/mbunge), [[Katavi]] (128.513), [[Njombe]] (120.795) au [[Lindi]] (112.192).
 
Tofauti ni kubwa zaidi palehuko Zanzibar. Kwa mfano [[Wilaya ya Kaskazini B]] katika [[Mkoa wa Unguja Kaskazini]] ina wakazi 81,675<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, KaskaziiKaskazini Unguja uk. 226]</ref> pekee lakini inachagua wabunge 4 katika majimbo ya Bumbwini, Donge, Kiwengwa na Mahonda.
 
==Kamati za Bunge==
Mstari 52:
# Kamati ya Hesabu za Serikali (Public Accounts Committee PAC)
# Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)
 
 
==Tazama pia==
Line 60 ⟶ 59:
==Tanbihi==
<references/>
 
==Marejeo==
 
[[jamii:Siasa ya Tanzania]]