Benue (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 1100477 lililoandikwa na Makoxy (Majadiliano)
Tag: Undo
No edit summary
Mstari 13:
'''Mto Benue''' (kwa [[Kifaransa]]: '''Bénoué''') ni [[tawimto]] kubwa la [[mto Niger]]. [[Chanzo (mto)|Chanzo]] chake ni katika [[nyanda za juu]] za [[Kamerun]], hasa [[milima ya Adamawa]].
 
Katika sehemuysehemu aya kwanza ya mwendo wake unatelemka [[mita]] 600 kwa mwendo kali. Karibu na [[mji]] wa [[Garua]] unaungana na [[mto Mayo Kébi]]. Baada ya mwendo wa [[km]] 350 [[mto]] huo unatoka Kamerun na kuingia [[Nigeria]] karibu na [[bandari]] ya [[Jimeta]]. Huko mto una [[upana]] wa kilomita moja unaoweza kupanua wakati wa [[mvua]]. Baada ya [[Yola]] mto unapokea tawimto lake muhimu zaidi, [[mto Gongola]].
 
Katika Nigeria mto ni njia muhimu ya kusafirisha mizigo na [[mazao]] ya nchi kati ya [[pwani]] ya [[Atlantiki]] na sehemu za [[bara]].
Mstari 19:
Unaishia katika mto Niger kwenye mji wa [[Lokoja]].
 
== Tazama pia ==
* [[MitoOrodha ya mirefumito ya AfrikaNigeria]]
*[[Orodha ya mito ya Kamerun]]
*[[Mito mirefu ya Afrika]]
 
==Viungo vya Nje==