Tofauti kati ya marekesbisho "Maradhi ya zinaa"

No change in size ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
Tags: Mobile edit Mobile app edit Android app edit
Kuna magonjwa ya zinaa mengi, haya ni baadhi yale yanayofahamika sana.
 
* === Klamidia ===
 
* === Klamidia ===
{{main|Klamidia}}
[[Picha:Pap smear showing clamydia in the vacuoles 500x H&E.jpg|thumb|300px|right|Vijududu vinavyosababisha klamidia.]]
Kisonono hutibiwa kwa [[antibiotiki]] kadhaa, ingawa maambukizi yamekuwa na ukinzani juu ya [[tiba]] ya baadhi ya madawa katika miongo ya nyuma. Moja kati ya mambo magumu katika kupambana na kisonono ni kutafuta mahusiano yote ya kimapenzi ya nyuma ya aliyeambukizwa ili kuweza kuzuia usambaaji zaidi wa ugonjwa.
 
* === Kaswende ===
 
* === Kaswende ===
{{main|Kaswende}}
[[Picha:Tertiary syphilis head.JPG|image|thumb|200px|Mfano wa kichwa cha mtu mwenye kaswende katika hatua ya tatu.]]
Ugonjwa wa [[malengelenge]] katika sehemu za siri husababishwa na maambukizi ya ''herpes simplex virus''(HSV). Aina nyingi za malengelenge huwa ni kutokana na aina ya pili ya HSV (''HSV type 2''). hatahivyo, maambukizi kutokana na aina ya kwanza ya HSV (''HSV type 1'') nayo yapo. Malengelenge katika sehemu za siri husababisha vivimbe vinavyouma vinavyojirudia kila mara, ingawa mara nyingi ugonjwa huwa hauonyeshi dalili kwa muda mrefu. Nchini [[Marekani]], mtu mmoja kati ya watano wenye umri wa zaidi ya miaka 12 ameathirika na HSV, na idadi kubwa ya hao waliambukizwa - karibia asilimia 90 - hawafahamu kuwa wana ugonjwa. Upimaji wa [[damu]] huweza kuonyesha uwepo wa maambukizi ya HSV, hata kama mtu bado hajaanza kuonyesha dalili. Dalili za HSV zinaweza kutibika kwa kutumia madawa ya yanayopambana na virusi kama vile ''acyclovir'', lakini HSV hawawezi kutoka katika mwili - hawatibiki.
 
* === UKIMWI ===
 
* === UKIMWI ===
{{main|Ukimwi}}
[[UKIMWI]], Ukosefu wa Kinga Mwilini, ni matokea ya maambukizi ya [[virusi vya Ukimwi]] (VVU) - ''Human immunodeficiency virus'' (HIV). [[UKIMWI]] ni ugonjwa wa zinaa hatari na usitibika ambao hushambulia [[mfumo wa kinga ya mwili]] na kumwacha mgonjwa akiwa hana hata uwezo wa kujikinga dhidi ya maambukizi madogo. Maambukizi ya VVU haimaanishi kuwa mtu ana [[UKIMWI]]. Baadhi ya watu na maambukizi ya VVU na wasionyeshe hali ya kuumwa ile inayotambulika kama UKIMWI kwa miaka kumi au zaidi. Watabibu hutumia neno [[UKIMWI]] pale mtu anapokuwa katika hatua za mwisho, zinazotishia uhai za maambukizi ya VVU.
=== Trikomonasi ===
[[Trikomonasi]] husababishwa na maambukizi ya [[protozoa]] anayefahamika kisayansi kama ''Trichomonas vaginalis''. Ugonjwa huu husababisha muwasho na karaha katika [[uke]] kwa wanawake na katika mfereji wa mkojo kwa wanaume. Trichomonasi huweza kutibiwa kwa urahisi na [[antibaotiki]]. CDC wamekadiria kuwa Waamerika milioni tano huambukizwa trikomonasi kila mwaka.
*
 
== Kuzuia na kudhibiti maambukizi ==
 
Tofauti na magonjwa mengine hatari, hatua rahisi zinaweza kutumika kuzuia maambukizi ya magonjwa ya zinaa.
 
Hatua ambaYoambayo ni madhubuti kuliko zote ni kuepuka [[ngono]] kabisa. Bila ya kukutana kimwili hakuna uwezekano wa kupata maambukizi ya [[zinaa]].
 
Kuwa na mwenzi mmoja tu katika [[ndoa]] na kwa wale wanaojiingiza katika mahusiano pia husaidia kupunguza hatari ya maambukizi.
 
== Mwenendo katika maambukizi ya zinaa ==
 
Wakati wowote katika [[historia]], kushamiri na kuongezeka kwa magonjwa ya zinaa huakisi mabadiliko katika [[sayansi]] na [[jamii]]. Kwa mfano, katika nchi nyingi duniani, kuenea kwa magonjwa ya zinaa kuliongezeka wakati na baada ya [[vita vikuu vya pili]] ([[1939]]-[[1945]]), wakati wanajeshi walipokuwa kwa kipindi kirefu mbali na nyumbani kwao na kujihusisha katika [[ngono]] na watu tofauti ambao wengi wao walikuwa wana maambukizo ya zinaa. Wakati [[antibaotiki]] - [[penicillin]], ilipopatikana miaka baadaye, nchi hizohizo zilishuhudia upunguaji wa maambukizi.
 
 
== Angalia Pia ==
 
* [[UKIMWI]]
* [[Kisonono]]
# [http://www.shinesa.org.au/index.cfm?objectid=A18B7552-DAAC-19CA-2764EEBA9AB0E451 Magonjwa ya Zinaa]
 
[[Jamii:Magonjwa ya kuambukiza]]
[[Jamii:Afya]]
[[Jamii:Jinsia]]