King'amuzi rada : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d corr using AWB |
SEO spam |
||
Mstari 2:
[[Image:Fuzzbuster2000.jpg|right|250px|thumb|Ditekta ya zamani kidogo.]]
[[Image:Car radar detector.jpg|250px|thumb|Ditekta ya Kijapani.]]
'''King'amuzi rada''' (pia: '''Ditekta ya rada''' kutoka [[jina]] "Radar Detector" kwa [[lugha]] ya [[Kiingereza]]) ni [[kifaa]] cha [[teknolojia]] ya juu kinachotambua iwapo mwendo wa [[gari]] unafwatiliwa na [[polisi]] au walinda sheria wakitumia [[tochi]] ya kutambua mwendo (radar gun).
Kifaa hicho cha [[umeme]] hutumiwa sanasana na [[dereva]] wa [[gari]] kuchunguza kama [[kasi]] ya magari yao inatazamwa kwa kutumia [[bunduki ya rada]] na [[askari]] wa [[usalama wa barabarani]] au maofisa wengine wa [[usalama]]. Wakitambua maeneo ambayo [[afisa|maafisa]] wa kudhibiti mwendo walipo wanapunguza kasi ya gari kabla ya kusimamishwa na kupewa [[faini]] au kutiwa mashakani.
Mstari 20:
== Viungo vya nje ==
{{tech-stub}}
{{DEFAULTSORT:King'amuzi Rada}}
|