Kujenga mwili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
spam
seo spam
Mstari 6:
Zoezi la kuinua [[mawe]] ili kujenga misuli lilifanyika zama za kale nchini [[Misri]], [[Ugiriki]] na Tamilakam.<ref>{{cite web|url=http://www.thehindu.com/features/magazine/locked-horns-and-a-flurry-of-feathers/article4294435.ece|title=Locked horns and a flurry of feathers|first=D.|last=Karthikeyan|date=January 12, 2013|publisher=|via=www.thehindu.com}}</ref> Upande wa [[magharibi]] katika nchi za [[Ulaya]] zoezi hili lilinawiri kati ya [[mwaka]] wa [[1800]] na [[1953]] wakati [[wanaume]] wa miraba walionyesha [[ubingwa]] wao na kushindana hadharani. Hata hivyo, wakati ule washindi hawakushindina ujenzi wa misuli bali walishindana ukubwa kwani hata wenye [[unene wa kupindukia|kitambi]] walishiriki. <ref>{{cite book|author=Schwarzenegger, A.|title=The New Encyclopedia of Bodybuilding|year=1999|location=Fireside, NY|isbn=0684857219|publisher=Simon & Schuster}}</ref>
 
Hivi leo mashindano ya kujenga misuli yamekomaa yakishirikisha si tu wanaume bali pia [[wanawake]]. Mwaka wa [[2000]] mashirika husika ya kujenga misuli yalijaribu kupiga hatua kushirikisha [[mchezo]] huu [[Olimpiki]] lakini hawakufaulu.<ref>{{cite web
|last=Littman|first=Jean|title=Bodybuilding And The Olympics: An Ongoing Controversy|work=|publisher=article99.com|url=http://www.article99.com/recreation-and-sports/olympics/article.php?art=63758|archive-url=https://web.archive.org/web/20071205174022/http://www.article99.com/recreation-and-sports/olympics/article.php?art=63758|dead-url=yes|archive-date=December 5, 2007|doi=|date=November 13, 2007}}</ref>
 
== Taratibu za Kujenga mwili ==