Carl XVI Gustaf wa Uswidi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
By extending the information
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Added content
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 8:
 
[[Jamii:Uswidi]]
[[Jamii:Wafalme wa Uswidi]]aliweza kuridhi ufalme baada ya Babu yake mfalme Gustav VI Adolf kufariki mnamo tarehe 15 septemba 1973.Yeye ni kitinda mimba na mwana wa kiume wa kipeke wa Gustaf Adolf kiongozi wa kifalme wa Västerbotten na Sibylla binti wa kifalme wa Saxe-Coburg na Gotha. Baba yake alifariki katika ajali ya ndege nchini Denmaki wakati Carl Gustaf alikuwa umri wa miezi tisa. Baada ya kifo cha babake, aliweza kuwa mstari wa pili kuridhi ufalme baada ya Babu yake,wakati huo akiwa mwana wa kifalme mtarajiwa Gustaf Adolf. kutokana na kifo cha babu mkuu wake mfalme Gustaf V mwaka wa 1950, Gustaf Adolf aliridhi ufalme na hivyo Carl Gustaf akawa mwana wa kifalme mtarajiwa mpya na mridhi mtarajiwa wa ufalme akiwa umri wa miaka nne.
[[Jamii:Wafalme wa Uswidi]]aliweza kuridhi ufalme baada ya Babu yake mfalme Gustav VI Adolf kufariki mnamo tarehe 15 septemba 1973