Nzige-jangwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Uhamiaji wa picha
Mstari 34:
 
[[Picha:Desert locust solitary hopper1.jpg|thumb|left|Tunutu wa solitaria nchini Mauritania]]
[[Picha:Schistocerca gregaria.jpg|thumb|Tunutu wa hatua ya tano]]
Kuna tofauti katika mofolojia na [[mwenendo]] kati ya awamu hizo mbili. Katika awamu ya solitaria tunutu hawaundi makundi lakini huzunguka peke yao. Rangi yao kwanza ni kijani, lakini hatua zinazofuata zinaweza kuwa hudhurungi ikiwa uoto kijani huadimika au kukosekana. Wapevu wa solitaria huruka usiku na kuwa hudhurungi ili kufichika katika mazingira yao na wanaweza kuwa njano isiyoiva wakikomaa.
 
Line 51 ⟶ 52:
Schistocerca gregaria L4 hopper band.jpg|Kundi la tunutu wa hatua ya nne
Schistocerca gregaria L5 hopper band.jpg|Kundi la tunutu wa hatua ya tano
Schistocerca gregaria.jpg|Tunutu wa hatua ya tano
</gallery>