Nzige-jangwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza matini
Sahihisho
Mstari 47:
Makundi ya nzige huruka juu ya upepo kwa takriban kasi ya upepo. Yanaweza kupita [[km]] 100 hadi 200 kwa siku na yataruka hadi takriban [[m]] 2000 juu ya [[Usawa bahari wastani|usawa wa bahari]] (juu ya mwinuko mkubwa zaidi nyuzijoto inakuwa baridi sana). Kwa hivyo makundi hayawezi kuvuka safu za milima mirefu kama [[Atlas (milima)|Milima ya Atlas]], ya [[Hindu Kush]] au ya [[Himalaya]]. Hayatajiingiza kwenye [[Msitu wa mvua|misitu ya mvua]] ya Afrika wala katika [[Ulaya ya Kati]]. Walakini, mara kwa mara makundi ya mapevu huvuka [[Bahari ya Shamu]] kati ya Afrika na Bara Arabu na hata wameripotiwa kuvuka [[Bahari ya Atlantiki]] kutoka Afrika mpaka [[Visiwa vya Karibi]] katika siku kumi wakati wa tauni ya 1987-89.
 
Kundi moja linaweza kufunika hadi km² 2000 na linaweza kuwa na nzige milioni 40 hadi 80 kwa km². Kundi la km² 500 kwa hivyo lina nzige bilioni 20 hadi 40 na uzito wa [[tani]] 40,000 hadi 80,000 ukizingatia wastani wa [[gramu]] mbili kwa nzige. Kutoka kizazi kimoja hadi kingine idadi ya nzige inaweza kuongeza mara 10 hadi 16.
 
Nzige-jangwa wa solitaria hula mimea yenye [[jani|majani]] mapana inayopatikana katika makazi yao ya jangwa. Hawapendi [[nyasi]] sana. Lakini wakiwa gregaria hula mimea takriban yote, pamoja na mazao ya [[binadamu]], na sehemu zote za mimea hiyo: majani, [[ua|maua]], [[tunda|matunda]], [[mbegu]] na [[gome]]. Nzige mmoja hula chakula cha uzito sawa na uzito wa mwili wake. Kwakila kisasiku. chaMpevu mpevuana huouzito niwa [[g]] 2, kwa hivyo kundi la nzige bilioni moja anakula tani 2000 kwa siku.
 
==Picha==