Content deleted Content added
Mawasiliano
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
No edit summary
Mstari 1:
Habari za siku. Samahani nauliza kuhusu program ya wikipedia kwa hapo shuleni, siku ile hatukufikia muafaka kama naweza kuwa nakuja kwa vipindi vya wikipedia. '''[[Mtumiaji:Magotech|Magotech]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Magotech|majadiliano]])''' 05:47, 13 Februari 2020 (UTC)
 
==Fransisko wa Asizi==
Riccardo, salam. Nd. Riccardo, ile makala ya Fransisko wa Asizi, umeandika safi sana na inaeleweka. Lakini je vipi kuhusu mwaka aliozaliwa huyu bwana unaujua? Natumai utakuwa umeitafsiri kutoka wiki zingine ama sivyo? Natumai ndivyo!! Basi kama utaweza kuandika mwanzo kabisa mwaka aliozaliwa itakuwa bora zaidi. Labada nikupe mfano mdogo: '''Fransisko wa Asizi''' (tarehe na mwaka aliozaliwa) alikuwa mtakatifu kutoka nchini Italia. Asizi alizaliwa katika mkoa wa Umbria, wilaya ya Perugia, Italia.... Kisha unaweka kama ndugu na mambo mengine!! Haya basi kama hujaelewa labda umwulize Kipala atakupa habari zaidi!! Kingine usisahau kuweka InterWiki katika makala yako kama ipo katika wiki zingine-'''<nowiki>[[it:Fransisko of Asizi]]</nowiki>''' (sijui kwa lugha ya Kitaliano wanahitaje) lakini inategemea na lugha vyovyote vile inaswihi. Kingine kuweka vichwa katika makala, hili nenda kaangalie makala yako utaona nimefanya vipi mpaka kimekuja kichwa cha habari-[[Fransisko wa Asizi]]. Sina mengi na nakutakia kheri ya mwaka mpya na furaha tele moyoni!!--[[User:Muddyb Blast Producer|Mwanaharakati]] 05:08, 7 Januari 2008 (UTC)
Line 1,071 ⟶ 1,069:
 
:Ndugu, si suala la idadi ya nyimbo. Unaweza ukaandika mmoja tu ukawa maarufu mara, au ukaandika nyingi lakini hazivutii watu... Vigezo vya umaarufu alikwishakupa Kipala ukamuambia aache ubaguzi! Ubaguzi gani? Ndiyo namna ya kumjibu mzee wa watu aliyetufanyia kazi kuuubwwa miaka zaidi ya 10? Hivyo uonyeshe huyo msanii amejulikana kweli na watu wengi: kwa mfano kwamba magazeti yanamzungumzia. Amani kwako! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni#top|majadiliano]])''' 08:40, 1 Januari 2020 (UTC)
 
==Klabu ya Wikipedia katika sekondari ya Alfagems==
Habari za siku. Samahani nauliza kuhusu program ya wikipedia kwa hapo shuleni, siku ile hatukufikia muafaka kama naweza kuwa nakuja kwa vipindi vya wikipedia. '''[[Mtumiaji:Magotech|Magotech]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Magotech|majadiliano]])''' 05:47, 13 Februari 2020 (UTC)
 
:Ndiyo, karibu sana Jumapili saa 8:00 kamili. Tutakuwa na mashindano ya utunzi bora wa makala. Amani kwako! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni#top|majadiliano]])''' 07:03, 13 Februari 2020 (UTC)