Mijin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mijin''' anatajwa kati ya Wakristo wa kwanza kuuawa kwa ajili ya imani yake barani Afrika (180 hivi). Ni kati ya wafiadini wa [...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Mijin''' anatajwa kati ya [[Wakristo]] wa kwanza kuuawa kwa ajili ya [[imani]] yake [[Bara|barani]] [[Afrika]] ([[180]] hivi).
 
Ni kati ya [[wafiadini]] wa [[Madauros]] (karibu na [[M'Daourouch]], leo nchini [[Algeria]]), pamoja na [[Namfamo]], [[Sanami]] na [[Luchíta]]<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/82060</ref>. [[Jina|Majina]] mengine yanayotajwa pamoja ni: Adyuto, Aresto, Artifa, Besa, Datulo, Degno, Evasi, Felisi, Felisiani, Kresto, Kwarti, Kwinti, Lukania, Martiri, Mose, Museo, Onorato, Orato, Paulo, Pompini, Privati, Reduktula, Rogasiani, Rustiko, Salvatori, Saturnini, Setimini, Sesiliana, Seliani, Sidini, Simplisi, Sito, Teturo, Tino, Vikta, Viktorino, Vikturi na Vinsenti.
 
Tangu kale wanaheshimiwa kama [[watakatifu]] kadiri ya [[barua]] ya [[Masimo wa Madaura]] kwa [[Augustino wa Hippo]].
 
[[Sikukuu]] yao huadhimishwa [[tarehe]] [[18 Desemba]]<ref>https://catholicsaints.info/martyrs-of-northwest-africa/</ref>.
 
==Tazama pia==