Hussein Mkiety : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mwaka wa kuzaliwa
mwaka wa kuzaliwa
Mstari 16:
| tovuti =
}}
'''Hussein Ramadhani Mkiety''' ([[2712 OktobaSeptemba]] [[19851987]] - [[26 Novemba]], [[2012]]) alikuwa msanii wa maigizo na [[mwimbaji]] na [[mchekeshaji]] wa filamu kutoka nchini [[Tanzania]]. Anajulikana sana kwa uhusika wake '''Sharo Milionea''', jina ambalo linatokana na '''[[Sharobaro]]'''. Ili kujitofautisha na Sharobaro ambaye hali halisi ni [[Bob Junior]] na studio yake, yeye akaamua kujiita Sharo Milionea - ambapo kiasili alilitoa katika filamu aliyoigiza. <ref>[http://www.bongocinema.com/casts/view/hussein-mkiety Mkity katika] [[Bongo Cinema.com]]</ref>
 
Mkiety ni moja kati ya wasanii waliobukia [[Kiwalani]] kama vile [[P. the MC]], [[Dknob]], [[Shukuru Kilala]], [[Darassa]], [[Snura Mushi]] [[Jay Maswagger]] na wengine kibao. Alianza harakati za kwa kujihusisha shughuli za hapa na pale, kabla ya kukutana na mwongozaji maarufu wa Kiwalani [[Siasa Mohammed]] almaarufu (Chiba). Filamu yake kwanza kucheza ilikuwa [[Zinduna]] kisha [[Itunyama]] aliyoshiriki pamoja na [[Adrian Siaga]], Shukuru Kilala na Snura Mushi. Filamu hiyo iliongozwa na [[Gumbo Kihorota]].