Muwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d The file Image:Faz_S_Sofia_canavial_090607_REFON_.JPG has been replaced by Image:Faz_S_Sofia_canavial_090607_REFON.JPG by administrator commons:User:Ymblanter: ''Robot: Removing space(s) before file extension''. ''[[m:User:CommonsDelinke...
No edit summary
Mstari 18:
''[[Saccharum officinarum|S. officinarum]]'' <small>L.</small>
}}
'''Miwa''' (''Saccharum'' spp.) ni aina za [[nyasi|manyasi]] yanayotoazinazotoa [[sukari]].

[[Asili]] yake ilikuwa [[Asia ya Mashariki]] na kutoka huko imesambazwazimesambazwa katika nchi za [[tropiki]] penyezenye [[mazingira]] inayofaayanayofaa kwake.

[[Kilimo]] cha [[mmea]] huuhuo ni chanzo cha sehemu kubwa ya sukari kwa ajili ya matumizi ya kibinadamu[[binadamu]] na pia kwa sehemu kubwa ya [[ethanoli]] inayotengenzwa kwa matumizi ya [[biofueli]].
 
Kwa ajili yake katika [[karne]] za nyuma ilistawi [[biashara ya watumwa]] hasa kutoka [[Afrika]] kwenda [[Amerika]].
 
==Kilimo==
Muwa hulimwa kote katika nchi za kitropiki ikiwaukiwa ni chanzo cha [[asilimia]] 55 ya mahitaji ya sukari duniani. Nchi zinazolima muwa nyingikwa wingi ni (uzalishaji wa mwaka 2005 kwa tani 1.000)
* [[BrasiliaBrasil]] (420.121)
* [[Uhindi]] (232.320)
* [[China]] (92.130)
Line 31 ⟶ 37:
Nchi za [[Afrika ya Mashariki]] huzalisha kiasi kidogo tu duniani kama [[Tanzania]] (tani 300,000), [[Kenya]] (5,112,000) na [[Uganda]] (2,350,000).<ref>takwimu 2008 ya [[FAO]] http://faostat.fao.org/site/567/DesktopDefault.aspx?PageID=567#ancor</ref>.
 
Kati ya 204mwaka hadi2004 na 2008 [[uzalishaji]] duniani ulionhezekauliongezeka kutoka tani [[bilioni]] 1.34 kufikia tani bilioni 1.74. <ref>takwimu ya FAO Food and Agriculture Organization of the United Nations (FAO) FAOSTAT - Production - Crops</ref>
 
 
 
==Picha==