Big Show : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Paul Donald Wight II'''(amezaliwa 8 Februari 1972) ni mpiganaji wa [[mieleka]] na muigizaji wa [[Marekani]],amesajiliwa kwenye kampuni ya [[WWE]],ambapo anafanya kazi kwenye [[brandi]] ya [[Raw]] na anajulikana kwa [[jina]] la '''Big Show'''.
 
Big Show alianza kazi yake katika Mashindano ya World Championship Wrestling(WCW), ambapo alijulikana kwa jina la [[''The Giant]]''. Mnamo mwaka wa 1999 alisaini mkataba na [[Shirikisho]] la mieleka ulimwenguni(WWF).
 
Kati ya WWF/WWE na WCW yeye ni [[bingwa]] wa [[dunia]] wa saba, akiwa ameshikilia mataji ya WCW World Heavyweight Championship mara mbili, Mashindano ya [[WWF/WWE]] mara mbili,WWE World Heavyweight Championship mara mbili na ECW World Heavyweight Championship mara moja,na huyu ndiye mtu pekee aliyeshikilia [[mataji]] manne.